Monday, December 24, 2012

Hujafa hujaumbika, wafanyakazi wa ndani walivyofanyiana unyama

 
 Mtoto Alinda Innocent (15) mfanyakazi wa ndani katika eneo line polisi kata ya Rwamishenye akiuguza vindonda baada ya uchomwa na maji ya moto na mtoto mwenzie baada ya kumtuhumu kuwa amevujisha siri zake alizomweleza kuwa bosi wake  mwanaume amempatia sh.10,000 na kumtaka asimwambie mkewe. Mtoto Alinda tayari alisharuhusiwa kutoka hospitalini hapo. 
Hapa mtoto Alinda akiwa amekolewa na maumivu.

No comments:

Post a Comment