Tuesday, December 4, 2012

Malumbano ya ujenzi wa soko, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, atoa la moyoni

 Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba Khamis Kaputah akieleza miradi ambayo itatekelezwa katika manispaa hiyo ambayo ni pamoja na ujenzi wa soko jipya ,upimaji wa viwanja, ujenzi wa kitega uchumi na standi mpya ya mabasi.
 Wakuu wa idara wa manispaa hiyo.
 Mtunza Hazina Mama Rubwa na afisa tarafa.
 Baadji ya waandishi wakisikiliza kwa makini.

No comments:

Post a Comment