Monday, December 24, 2012

Kapotive star singars walamba dume, kufadhiliwa kwa kurekodi video ya nyimbo zao

 Bw. Nyambo akipokea hundi ya sh. milioni 10 kutoka kwa mgeni rasmi kwa ajili ya kusaidia kwaya ya Kapotive katika harakati zao za kuacha kurekodi video ya nyimbo zao.

 Mumiliki wa blogi hii naye hakuwa nyuma kupiga picha na star huyo, Shusho

 Padri Anthony Kutoka Uganda ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili akisalimiana na na Christina Shusho

 Hebu jaribu nawe kama unaweza mwanangu
 Watoto nao waliamua kupanda jukwaani kumsaidia Bi Shusho kuburudisha pasala
Mgeni rasmi Bw. Mutembei akiagana na Bi. Shusho wakati akiwa jukwaani akitumbuiza

No comments:

Post a Comment