Kweli hii ndiyo Bukoba, ndiyo mara yangu ya kwaza kuja hapa makaribisho yako hivi.... mhhhhh subiri kwanza ninywe maji ya Rwenzori halafu nianze kuhesabu wamenituza ngapi
Unasemaje Bwana mimi niko bize nahesabu hela si unajua baada ya biashara jioni ni mahesabu?Christina akiwa makini kuchagua nyimbo kutoka katika albamu yake ya Unikumbuke
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Christina Shusho akiwa akijteta jambo na mwimbaji wa Kapotive, suala kubwa lilikuwa ni chaguo za nyimbo zake alizotaka kuimba wakati wa uzinduzi wa albamu ya kapotive
Safari ya kwenda Kanani ikiwa imeenza wakati Padri Anthony akiimba wimbo wake huo.Padri Anthony Musaala akiimba wimbo wake wa nakwenda Kanani, akiwa amebeba kiti kichwani huku watu wengine wakimfuata kwa nyuma wakiwa nao wameungana naye katika safari yake ya kwenda huko kanani.
Kwetu heee lazima tucheze ngoma yetu, tupende za kwetu kwanza.
Wakwaya ya Kapotive star singers wakitumbuiza watu waliohudhuria katika uzinduzi wa albamu yao ya Yesu ni Mwema
No comments:
Post a Comment