Askofu Nestory Timanywa aliyebeba msalaba akiwa katika picha ya pamoja na watawa waliopata nadhiri za milele na waliopata kwa mara ya kwanza
sehemu ya umati ya wazazi na ndugu waliojitokeza kushuhudia tukio hilo
kweli wamependeza
Sr.Alistidia Tohabyona akiwa amepozi katika picha baada ya kuweka nadhiri za milele
Huyu mtawa naye alikuwa mlinzi wa keki
Kulia ni Sr.Ermertha Kokutona ambaye ni makamu Kiongozi wa Shirika la Mabinti wa Bikira mama wa Msaada wa daima , kati kati padri aliyekuwa akiwafunda watawa wapya na kushoto ni Mama Mkuu wa Shirika la Masista wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu, Sr. Prudentiana Levina Kirungo
Mmoja wa wanandugu kutoka Jimbo la Kayanga akiwa amebeba zawadi
Askofu Timanywa akiwakabdhi watawa zawadi ya picha ya Bikira Maria.zawadi hiyo ilikuwa maalum kwa watawa hao kutoka katika ofisi yake.
wako katika picha ya pamoja
Askofu Timanywa akiongoza wanamwali hao kukata keki
Ilifika muda sasa wa kulishwa keki
Babu nakupa keki kama ishara ya upendo
Ilifika muda wa watawa kutoa burudani
Wazazi nao waliamua kujiunga na watawa katika kucheza ngoma ya kihaya
Hapa mwanangu ilihitaji mwenye mazoezi ya nguvu
Tusherekee, hawa wamechanganyikana kuna watawa kamili na wanafunzi wanaosomea utawa
No comments:
Post a Comment