Mumiliki wa blog hii naye hakuwa nyuma, ni huyo mwenye blauzi ya rangi ya mzee akifuatilia kwa makini uzinduzi huo. |
Cha kufurahisha zaidi Viti vilijaa mapema kabla ya ufunguzi kuanza Lina's |
Add caption |
Bw. Peter Mutembei (mgeni Rasmi) akisalimiana na Askofu Methodius Kilaini
Ka
Bw. Ernest Nyambo akiteta jambo na Ndg. Andrew Kagya – Mratibu wa kapotive Star singers
Hakika ni Furaha tupu leo...
Bw. Ernest Nyambo
watu walihudhulia wengi kama unavyojionea
UMATI WA WATU walioingia kushuhudia uzinduzi huo
Baba Askofu Methodius Kilaini akifungua sherehe hizo kwa sala kwanza kabla ya nyimbo kuanzsa kuporomoshwa.
Kapotive Star Singers
Wageni wakiendelea kusikilizwa na wahudumu
Wadau.
No comments:
Post a Comment