Monday, December 24, 2012

Tumeamua kufunga pingu za maisha na Mungu

 Watawa wa shirika la Mabinti wa Bikira mama wa msaada wa Daima wakiingia kanisani kupata daraja la hilo kwa mara ya kwanza.Nyuma wakisindikizwa bendi ya shule ya kolping inayomilikiwa na kanisa Katoliki.
 Mstari wa watawa na mapadri waiongozana kuingia kanisani
 Watawa wanaoweka nadhiri za milele nao wakiwa wamebeba mishumaa wakiingia kanisani

 Ohh Mungu tusaidie


No comments:

Post a Comment