Watawa wapya wakivishwa taji la maua vichwani
Hapa wanavishwa vilemba
Askofu wa Jimbo Katolii la Bukoba, Nestory Timanywa aibariki baadhi ya vifaa vinavyotumiwa na watawa wanaoweka nadhiri za milele
Taji la miiba kwa ajili ya kuwavisha
Hapa mtawa mmoja akiweka saini ya kukubali kumtumikia Mungu hadi kufa
No comments:
Post a Comment