Mwanamzuki wa injili, Christina Shusho kutumbuiza jukwaani wakati wa uzinduzi
Aahaaaa hapa Bw. Willy akionesha kunogewa na nyimbo zilizokuwa zikiporomoshwa na Bi.Shusho. sasa...
Wakiimba pamoja Willy na Christina Shusho
Wakicheza pamoja...
Mhhh....Dada Geogia naye alikuwepo na familia yake
Wengine wakajimuvuzisha kwenye Screen kutupia jicho kwa Man United muda huo ilikuwa 1-1
Christina Shusho akiendelea kutumbuiza
Dadaz wakiendelea kufurahia ukumbini hapo kulia ni Bi. Sarah muimbaji wa Kapotive
Wengine walipagawa ....
Viti vilipata moto wa gafla
Dada wa Kapotive Star Singers akiteta na Christina Shusho baada ya kumaliza ungwe ya kwanza
No comments:
Post a Comment