Wednesday, December 12, 2012

siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia ilivyoadhimishwa na polisi Kagera

  Askari wakiandamana pamoja na wadau wengine kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
 Ujumbe uliokuwa ukitolewa na waandamanaji.
Kushoto ni Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi na  katibu tawala wa mkoa wa Kagera  Ndg Nassor Mnambila

No comments:

Post a Comment