Monday, December 24, 2012

Tuombeeni kwa Mungu tuepukane na vishawishi vya dunia

Watawa wapya wakiwa wamepiga magoti baada ya kuvishwa taji

Watawa wanaoweka nadhiri za milele, kila mmoja alisindikizwa na wazazi wake wawili atareheni  wakati wakiitwa mmoja mmoja kujongea mbele

Zoezi hilo liliendelea kama kawa ambapo jumla ya watawa 13 waliweka nadhiri za milele


Hapa sr.Emerertha Kokutona akijadili jambo na mmoja wa padri
Karatasi hizi zimesheheni majina ya watawa waliopata nadhiri za milele na wale waliopata daraja hilo kwa mara ya kwanza


Watumishi wa misa wakizaidiana na  mapadri na watawa kutandaza chini mikeka kwa ajili ya kulalia watawa waliokuwa wkaiweka nadhiri za milele

Watawa 13 waliokuwa wanaweka nadhiri za milele wakiwa wamepiga magoti tayari kwa kulala chini kuimbia litania ya watakatifu
Watawa wakiwa wamelala kifudi fudi mbele ya atltare wakati wakiimbiwa litania.

No comments:

Post a Comment