Madaktari katika hospitali ya Mount Elizabeth nchini
Singapore wametangaza kuwa mwanamke aliyekuwa akipatiwa matibabu katika
hospitali hiyo kufuatia kubakwa na kundi la wanaume sita mjini New Delhi
nchini India amefariki dunia.
Hospitali ya Mount Elizabeth ya nchini Singapore alikokuwa akitibiwa mwanamke aliyebakwa nchini India
haveeru.com.mv
|
Kufuatia taarifa za kifo hicho waziri mkuu wa India Manmohan Singh ameelezea kusikitishwa kwake na taarifa hizo na kuahidi kuchukua hatua madhubuti dhidi ya waliotekeleza unyama huo.
No comments:
Post a Comment