Monday, December 24, 2012

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Padri Anthony Musaala we acha tu, hebu angalia mwenyewe, hata mapadri hawavumi lakini wamo



Father Musaala kutoka Uganda akisakata na huku akiimba na wasanii wake

Musaala aliua ile mbaya..

Wanakwaya wakiwatuza waimbaji wa Fr. Musaala ambao walitokea Uganda kuja kuzindua Album za Kapotive -(Kapotive Star Singers-Bukoba)

Musaala akawavuta mashabiki

Dada Geogia naye hakuvumilia.. alisogea taratiiiiibu...

Akisakata sasa..
Tuimbe tushangile....

Watoto nao wakamtuza Fr.Musaala

Musaala ...akicheza na mashabiki ukumbini

Dada Geogia..

Tuimbe na tumsifu  Bwana..

1 comment: