Baadhi ya vitu
vilivyokamatwa na jeshi la polisi mkoani Kagera kufuatia operation mbalimbali
lililoziendesha kwenye maeneo mbalimbali yaliyoko mkoani humo, vitu hivyo ni
pamoja na viungo vya wanyama mbalimbali vikiwemo meno, pembe na ngozi, bunduki
aina ya SMG na risasi zake, pesa bandia na kamba zinazotumiwa na waharifu
kutekeleza uharifu, pia kufuatia msako huo zaidi ya bunduki 15 zilizokuwa
zinamilikiwa kinyume na sheria zilisalimishwa.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Philip Kalangi, akionyesha bunduki aina ya SMG iliyokamatwa kufuatia operation iliyoendeshwa na jeshi la polisi mkoani Kagera iliyopendeshwa na mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Kagera (kukia) Mwaibambe.
Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai, Mwaibambe akionyesha pembe za wanyama mbalimbali zilikamatwa na jeshi la polisi kufuatia msako lililouendesha.
Noti bandia zipatazo sh. milioni 10 zilizkamatwa wilayani Karagwe
Silaha mbalimbali zilizosalimishwa kwa hiari kufuatia operation ya jeshi la polisi.

No comments:
Post a Comment