Thursday, October 4, 2012

Jengo la Kisasa la Kanisa linalopatikana Bukoba pee Afrika Mashariki ndugu yangu

Karibu tumzike rasmi Kardinali wetu wa kwanza mweusi kutoka bara la Afrika Mwadhama Laurean Rugambwa hapo Oktoba 6, mwaka huu

Yalioko pembeni ni rundo la majani yalioandaliwa kwa ajili ya kutandazwa chini kwa lengo la watu kukalia, hii ni mila yetu bwana wala usishangae

No comments:

Post a Comment