Sunday, October 28, 2012

Kuchota maji ya baraka Nyakijoga ni saa 5 mwanangu do!

Haya maji ya baraka nimesotea kwa saa sita kuyapata kutokana na foleni kubwa, subiri nifunge suruali yangu vizuri ili niweze kuyabeba haya madumu ndivyo inavyoonekana akisema kijana huyu.

No comments:

Post a Comment