Askofu wa Jimbo la Bukoba, Mhashamu Nestory Timanywa ni huyo anayefunua biblia
BUKOBA
Askofu wa Jimbo la Bukoba,Mhashamu Nestory Timanywa,amesema Chuo Kuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Bukoba kwa sasa kimebadilishwa na kupawa jina la Kardinali Rugambwa
Amesema hayo jana wakati akitoa shukrani zake kabla ya misa kuahirishwa, alisema kutokana na kazi na matendo ya Kardinali Rugambwa Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Bukoba, kwa sasa kinabadilishwa jina na kuitwa Chuo kikuu cha Kardinali Rugambwa.
"Jina hili linabadilika kutokana na maelekezo yaliotolewa na Baraza la Maaskofu Tanzania, kuridhia kiitwe hivyo, kama kumuenzi maendeleo yote alioanzisha"alisema Askofu huyo.
Mwisho.
No comments:
Post a Comment