Thursday, October 4, 2012

Wakati wa maziko rasmi ya Kardinali Rugambwa lazima tudumishe mila zetu, kwani kwetu Uhayani lazima nyasi za kukalia ziwepo

Usishangae Kanisa Kuu la Katoliki linapakana na hosteli ya shule ya sekondari ya  Bukoba, hapa masomo yasipopanda usiku wanawajibika hata kumkumbuka mola wao

Maandalizi yakiwa yamepamba moto, hakuna aliyekaa chini, pembeni ni lundo ya majani/ nyasi maalum zilizokusanywa yakisubiri kutandazwa chini kwa ajili ya kukaliwa siku yenyewe, kwa hiyo mtu asije akahangaika kutafuta kiti kiko wapi, hii ni mila yetu lazima tudumishe
 Majani hayo yakiwa yamenza kutanadazwa chini

 Angalia yalivyotandazwa chini kwa usitadi wa hali ya juu
 Hawa wapita njia nao wakizungumza na baadhi ya wapambaji waliokuwa wkaipamba nje ya kanisa
Ndiyo kanisa laanza kung'ara siku ikifika siku yenyewe mambo yatakuwa vipi

No comments:

Post a Comment