Monday, October 8, 2012

Inaonekana Jeneza lililobeba masalia ya Kardinali Rugambwa lilikuwa nzito sana!

 Inaonekana hili Jenela lililobeba masalia ya MwadhamaLaurean Kardinali Rugambwa lilikuwa nzito, hebu angalia inavyoonekana wanatumia nguvu kulibeba.
 Baadhi ya watu walilazimika kupanda juu ya paa za nyumba na miti ili mradi tu walione jeneza lililobeba mabaki ya mwili wa Kardinali Rugambwa
Tayari fuata njia ya kuingia kansiani

No comments:

Post a Comment