Saturday, October 6, 2012

Askofu Ruwa'ichi akiweka shada la maua katika Kaburi la Kardinali Rugambwa


 Kwa heri ya kuonana Kardinali wetu
 
 Jeneza la Masalia ya Kardinali Rugambwa likiwa limeshaingizwa kaburi.
 Watu maalum wakiwa wameinamisha vichwa vyao chini kwa lengo la kushuru baada ya kumaliza kufunika kaburi mpya ya Kardinali Rugambwa
 Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Jude Thadeus Ruwa'ichi akiweka shada ya maua katika kaburi la Kardinali Rugambwa mara baada ya kuzikwa masalia yake
 Kaburi mpya ya Kardinali Rugambwa linavyoonekana baada ya kuzikwa masalia yake
Sehemu ya waumini waliofurika katika kushuhudia kwa mara ya pili maziko hayo wakifuatilia kwa makini kwa nje mambo yaliokuwa aykitendelea ndani ya kanisa kupitia scren kubwa za luninga zilizowekwa nje.

No comments:

Post a Comment