Saturday, October 6, 2012

Hili ni jeneza lililobeba mabaki ya mwili wa Kardinali Rugambwa tayari kusafirishwa kwenda kuzikwa mara ya pili

 Mbele jeneza lililobeba masalia ya Kardinali Rugambwa likiwa limewekwa mmbele ya kanisa la kwanza mkoani Kagera tayari kuhamishiwa kupelekwa katika kanisa kuu la Bukoba
Mbendi la gwaride ya seminari ya Rutabo nayo ikifanya vitu vyake kwa mara ya kwisho kabla ya kuanza misa ya kuhamisha masalia yake.



No comments:

Post a Comment