Hii ni kituo kikuu cha mabai cha Manispaa ya Musoma , vyumba vilivyoko katika eneo hilo kwa ajili ya watu kupanga kwa matumizi ya maduka yakiwa yamekosa watu, wakati mikoa mingine watu wanavitafuta kwa udi na uvumba
Baadhi ya wanawake wakuza dagaa katika mmoja ya mwalo katika Manispaa ya Musoma
No comments:
Post a Comment