Jeneza la Masalia ya Kardinali Rugambwa yakiingizwa kaburini
Jeneza lake likiwa mbele ya kaburi lake mpya kwa maombi ya mara ya mwisho
Watu walioandalaiwa wakilibeba jeneza la masalia yake na kuliweka juu ya kaburi
Jinsi kaburi alimozikwa Kardinali wa kwanza mwafrika, Laurian Rugambwa linavyookena kabla ya kuzikwa
Jeneza lililo na masalia yake likiwa limebebwa juu ndani ya kanisa tayari kuelekea katika makao yake mapya
Mhh vijana waliobeba mashada ya maua wakielekea Wakiingia kanisa, lakini cha kushanga kuwa safu nzima ya walikuwa ni wanaume watupu hata wabeba mashada.
No comments:
Post a Comment