Hija Nyakijoga hata kitimoto haikukosekana
Hata msanii huyu wa nyimbo za injili naye alipata nafasi kwa mara ya kwanza kutumbuiza wahojaji kwa wimbo wake wa Bikira Maria.(AVE MARIA)
Msanii huyu kutoka nchi jrani ya Uganda akifanya vitu vyake jukwaani Nyakijoga
Sehemu ya waumini mara baada ya kuahirishwa kwa misa ya wahojaji
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Rulenge Ngara wakichota maji ya baraka kutoka kwenye chemi chemi
Kila mmoja akitaka aingie ndani ya Kanisa la Nyakijoga kuona maajabu yaliomo humo
Mimi ni wa kwanza kuingia ndani
Usafiri unapokuwa Mugumu kwenda kuhiji Nyakijoga hata malori nayo yanaruhusiwa kubeba abiria
Mumimiliki wa Blog hii akiwa mbele ya Kanisa la Nyakijoga iliojengwa juu ya pango linalotoa maji ya chemi chemi ambako Bikiria Maria alitokea miaka 1958
No comments:
Post a Comment