Naibu waziri wa
uchukuzi Charles Tizeba akitoa maelekezo kwa maofisa wa bandari alipotembelea
bandari ya Bukoba.
Meli ya mizigo
ikipakia sukari ilikutwa bandari ya Bukoba.
Tibeza akiongea na
wasafiri aliowakuta bandarini.
Baadhi ya wasafiri
ambao walikutwa kwenye jumba la wageni lililoko bandaria ya Bukoba.
Naibu waziri
akiangalia huduma zinazotolewa na meli ya Victoria.
Sehemu ya mandhari ya
bandari ya Bukoba.
Naibu waziri
akielezwa huduma zinazotolewa na kampuni inayomiliki meli ya
Victoria.
Meli kongwe nchini ya
victoria ambayo hufanya safari zake kati ya mikoa ya Mwanza na Bukoba, ilikuwa
imeegeshwa bandari ya Bukoba, Naibu waziri ameutaka uongozi wa kampuni ya meli
kuhakikisha unaweka mazingira mazuri kwa wasafiri ambayo ni pamoja na kuiwekea
meli hiyo viyoyozi ili wasafiri waweze kuvuta hewa nzuri na pia waifanyie usafi
kwenye maeneo yote.
No comments:
Post a Comment