Sunday, October 28, 2012

Hija Nyakijoga ilivyofana Leo

 Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wametamdaza chini bidhaa zao, Mgana wakati maelfu wa waumini wa kanisa Katoliki walipofurika katika eneo hilo kuwenda kuhiji

Waumini wa kanisa hilo hawajuli mvua zilizokuwa zikinyesha katika eneo hilo la nyakijoga, zaidi ya kuonekana wakiwa wamepanga mstari mrefu kwa ajili ya kwenda kuchota maji ya baraka.

No comments:

Post a Comment