Pichani ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba, Khamis Kaputa akiwa amevaa tracksuti tayari kuwanza kuendesha kampeni ya kufanya usafi katika Manispaa hiyo
Huyu ni Mkuu wa Mkoa Kagera Kanali Fabian Massawe a.k.a Mulokozi akiwa na mfyekeo akiongoza zoezi la kufanya usafi katika Manispaa hiyo, ambayo kabla ya ujio wa Mkuu huyo ulikuwa hautamaniki kutokana na kukithiri kwa uchafu kila mahali.PICHA ZOTE NA THEONESTINA JUMA
No comments:
Post a Comment