Monday, April 30, 2012

Amani na maendeleo... Kagera, Kagera... Amani na Maendeleo




 Mkuu wa mkoa Kagera, Kanali Fabian Massawe akihutubia Wajumbe wa Mkutano (hawako pichani) Mkuu wa 25 wa Chama cha Ushirika Wilaya ya Karagwe Ltd (KDCU) katika Ukumbi wa CCM Wilayanni  humo.Picha ni kwa hisani ya Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera,(Raphael Sylvester)

No comments:

Post a Comment