Mumiliki wa blog hii, Bi.Theonestina Juma, akivuka mto Ruvuvu unaoungana na mto Rusumo ulioko mpakani mwa Tanzania na Rwanda.Maji ya mto huu kwa kawaida mtu akiyatazama kwa macho ni kana kwamba yamesimama wala hayaendi, lakini kwa watafiti wa masuala ya maji wanadai kuwa maji hayo yanakasi ya ajabu.
No comments:
Post a Comment