Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea
kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa
Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth
Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo hivyo kesi
hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu
mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi
yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku
akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa askari Magereza.Picha na Mdau Khadija
Kalili
No comments:
Post a Comment