Misa takatifu ilianzia katika kigango cha Bugando Jijini Mwanza ya kuaga mwili wa mzee Allyoce Amworo.
Mwili wa Mzee wetu ukiwa ndani ya jeneza
Msururu wa magari yakisindikiza mwili wa marehemu Amworo kwenda kuombea misa takatafu parikia ya Ingri Rorya
Baada ya Maziko mzee huyu maarufu katika wilaya ya Rorya kwa jina la Kapila akiwaburudisha baadhi ya waombolezaji kwa kusakata rumba.
No comments:
Post a Comment