Friday, April 27, 2012

Mmoja wa wajumbe wa mkutano mkuu wa mezania wa Chama cha Ushirika wa mkoani Kagera(KCU)1990 Ltd akizungumza katika mkutano huo.Katika mkutano huo, wajumbe hao walihoji inakuwaje hoteli yao ya Lake iingize faida ya sh. milioni 1,000,300 tu kwa mwaka wakati mtaji ikiwa ni sh. milioni 86.


No comments:

Post a Comment