Watoto waliopata kipamimara leo katika Kanisa Katoliki Jimbola Bukoba wakiwa katika maandamano yalioanzia barabara ya Jamhuri kwenda Kanisani.
Mhh kweli washemera ile mbaya .
Jamani tupokeeni tunaingia kanisani kupewa daraja lingine muhimu katika ukristo wetu.
Hii ni sehemu ya kwaya ya watoto wakiongoza maandano ya kuingia kanisani.
Dkt. Askofu Methodius Kilaini akiwa katika maandano ya kuingia kanisani kwa lengo la kuendesha misa takatifu ya kipaimara kwa halaiki ya watoto 804.
No comments:
Post a Comment