Hapa baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa Kagera pamoja na Maafisa Maliasili wa Halmashauri zote za Mkoa huo wakiwa katika mkutano na Mkurugenzi Mkuu wa Misitu na nyuki, Dkt. Felician Kilahama.
Waandishi wa habari mkoa Kagera wakiwa kazini
Sehemu ya wajumbe na waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki, Dkt. Kilahama
Dkt. Kilahama akizungumza na waandishi wa habari wa Kagera leo katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Msitu nchini, Dkt. Kilahama na kulia kwake ni Afisa Misitu ofisi ya Mkuu wa mkoa Kagera, Bw. Jafari Omary
Sehemu ya wajumbe.
No comments:
Post a Comment