Sunday, July 8, 2012

Waliopata kipaimara mwaka 2012 katika banda hili nadhani ndiyo wa mwisho-Askofu Kilaini

 Hiki kibanda kipaimara ya mwaka huu 2012 ndiyo ya mwisho wanaofuatia sasa kupatia ndani ya 'Ikulu' jengo jipya.
 Baada ya misa kuchukuwa muda mrefu, watoto waliokuwa wakizubiri ndugu ili kuwavisha mataji walilazimika kutoka ndani ya kanisa na mataji hayo na kuanza kucheza  nje ya kanisa huku misa ikiendelea.
 Hapa baada ya kuona wanapigwa pichwa wakiwa wamesambaa walilazimika kujiita na kujipanga ili kupigwa picha huku akilamba ice creem licha ya kuwa muda wa kupokea ekaristi takatifu ilikaribia.
 Hata wafanyabishara wa mataji hawakuwa mbali na sherehe hiyo, hapa baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wametandaza mataji chini wakiwasubiria wateja ambao walikuwa wakipata kipaimara leo.
Tuko tayari tupige picha.

No comments:

Post a Comment