Sunday, July 8, 2012

Tumeiva kiimani ya dini ya Kikristo

 Mtoto Adeline akiwa anaoongoza kwaya ya watoto wakati wa misa takatifu ya kupewa daraja la kipaimara leo katika kanisa katoliki la Rumuli.Misa ya tatu ya leo ilihudumiwa kwa njia ya wimbo na kaya ya watoto.
 Hapa sehemu ya wapiga ngoma, ambapo mtoto Erick Projestus ndiye aliyekuwa ameshika usukani wa kupiga ngoma wakati kwaya ya watoto ikiimba katika miasa takatatifu ya kipaimara.
 Sehemu ya kwaya ya watoto wakituumbuza licha ya kuwa ilikuwa nai sherehe yao ya kupata kipaimara.Kya hiyo waliokuwa wakiimbisha ni watoto wa kike huku watoto wa kiume baadhi yao wakikabidhiwa jukumu la kupiga ngoma.


 Sehemu ya halaiki ya watoto waliokuwa wakipewa kipaimara leo wakiwa wamejawa tabasamu.Kipaimara nayo ni moja ya nguzo muhimu kwa kanisa Katoliki.
 Sehemu ya wanakwaya wakiimba kanisa.

 Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Dkt. Methodius Kilaini akimpaka mafuta mmoja wa watoto waliokuwa wakipata kipaimara leo.

No comments:

Post a Comment