Friday, September 6, 2013

Ukatili wa kutisha Ngara, auawa kwa wizi wa maharage na mwili wake wachomwa moto moto


Hivi ndivyo mauti yalivyomkuta kijana mmoja huko ngara baada ya wananchi wenye hasira kali kumchoma kwa moto.
Uongozi wa kijiji ukiwa eneo la tukio hilo
Tukio hili limetokea Katika kijiji cha MUKAREHE Wilayani Ngara ambapo Kijana mmoja ameuawa kwa tuhuma za wizi wa Maharage.

No comments:

Post a Comment