Redd’s
miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma
akiwa na washindi wenzake wa shindano la Redd’s miss Tanzania mara
baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwenye shindano lililofanyika kwenye
ukumbi wa Mlimani Cituy jijini Dar Es Salaam,Kulia ni mshindi wa Pili
Latifa Mohamed toka kanda ya Temeke na kushoto ni mshindi wa tatu Clara
Bayo toka kanda ya Temeke Mkurugenzi
wa masoko wa Tbl Kushilla Thomas akimkabidhi funguo za gari mshindi wa
shindano la Red’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa
toka mkoani Dodoma mara baaada ya kunyakua tajio hilo na kuwashinda
washiriki wenzake 29 toka mikoa mbalimbali ambapo pamoja na gari lakini
pia amepata kiasi cha shilingi milioni nane
No comments:
Post a Comment