Friday, September 6, 2013

Diwani viti maalum CCM Bukoba, Murungi Kichwabuta atoa la moyoni Facebook


JEANIFER MURUNGI KICHWABUTA
Nashukuru sana Kamati Kuu na M.kiti wa CCM Taifa Dr. Jakaya Kikwete kwa kupinga uamuzi wa NEC Mkoa kagera,wa kufukuza Madiwani 8 wanaopinga ufisad.. Sasa kazi ndipo inaanza CAG ikague na ilete taarifa hiyo ktk baraza la Madiwani ili TUTOE UAMUZI.
Like ·  · 
  • via mobile · Like
  • Cris Kai Jenifer huyoooo..aminia!
    · Like · 1
  • Nickson George Kinanila Dada Murungi hapo hakuna cha maamuzi mazuri ya Kikwete wala nini, hapo ni ufisadi mtupu hakuna cha CAG wala nini. CCM bado wanaendelea kukumbatia mafisadi, ukweli unaonekana wazi wazi ............
    via mobile · Like
  • Peniasy Kaindoa Baada ya ukaguzi ikigundulika hakuna ufisadi aibu mtaziweka wapi?na je?kama mlijua kuna vyombo husika vya ukaguzi wa pesa ya selikari kwa nini mlianza chokochoko bila kusubili?mafisadi ni wengi,mna lenu jambo hamtaki kutuweka wazi
    via mobile · Like · 1
  • Bushira Kyakwita AMIA CHADEMA
    via mobile · Like
  • Edwin Mushema Je akisema hakuna ufisadi mtakubaliana naye CAG
    · Like
  • Nickson George Kinanila kwanza Baraza la madiwani na Mbunge wenu ndo chanzo ca matatizo yote, tatizo la madiwani ni bendera fuata upepo kazi yenu kula rushwa 2.
    via mobile · Like · 1
  • Jeanifer Murungi Kichwabuta @Peniasy cku hizi watu wanalala ofisini Manispaa sijui wanalekebisha nini? Mwache Mungu aitwe Mungu sisi hatukujua kama tutafika hatua hii. @Kinanila si wote CCM wanaokumbatua ufisad si unatuona sisi tuombee...@Cris,Jamila tuko pamoja.
    via mobile · Like
  • Peniasy Kaindoa Kotapini ya baiskeli inaingia kwa nyundo inatoka kwa nyundo,rudini chato mje mnapiga kura hapo mtafanikiwa mnyanganywe na sm kwanza,huo mzimu wa chato utawasumbua sana rudini kwa wapiga kura mtubu
    via mobile · Like · 3
  • Jeanifer Murungi Kichwabuta @Edwin..hata wakionga ukweli utaonekana tu.
    via mobile · Like
  • Jovy Mujwa Rukambuzi Team Ludovick Utoh ni wakaguzi wa mahesabu wenye uzalendo uliotukuka huwa awabakizi hata chembe wa mepewa ridhaa ya kukagua hadi mfumo wa kisiasa ndani ya chama ktk manispaa ya mkoa wa kagera siyo ufisadi tu.
    via mobile · Like
  • Nickson George Kinanila Sister Murungi hizo kauli zenu tumezizoea sana 2, kwahiyo kusema hivyo cdhani kama nitakuelewa!!!!! bali ninachokuahidi kazi mnayo 2015.
    via mobile · Like · 2
  • Frank Fredy Rutta Hapo swala kubwa ni ujenzi wa soko jipya wanataka kugeukana wao tu so mayor ajipange na wenzake watangaze tenda sio mtu kufanya maamuzi
    via mobile · Like
  • Hafidhu Kashakara Mungu yunanyi wala msiogope hongera sana dadangu pumba namchele vionekana nahao wanaolala maofisini hawajui kuwa kila kitu kishakuwa wazi penye wizi utakamatwa tu wanaokagua wala sio mazombi inshu nzima iko wazi so kitaeleweka kwa bwana Mchuchu. Mungu asaidie kila kitu kiwe wazi tumuone nani alikuwa ktk haki.
    via mobile · Like
  • Domi Kamugisha Mnatafunana wenyewe kwa wenyewe (sisiem),MAJANGA.
    · Like
  • Elvis Mwesigwa Hilo jimbo linahitaji maombi
    via mobile · Like
  • Peniasy Kaindoa Dada mrungi kumbuka mimi hu mziki naujua vizuri,hakuna ufisadi wala nini tatizo lenu madiwani wa bukoba ni kusahau wajibu wenu
    via mobile · Like · 3
  • Obeid Odaman Poleni kwa yote mama yangu hi ni mitihani ktk maisha na mtaishinda dua ze2 na maombi ye2 mungu atayajibu!
    via mobile · Like
  • Wilbroad Peter Kaindoa umeamua kweli,Chato!.Umenikumbusha mbali sana bwana.Tatzo kubwa la madiwan wetu walijisahau on their first appearance.Ni tatzo kubwa sana,anyway wengine poleni!
    via mobile · Like
  • Harryson Rwehumbiza Bukoba akuna cha ufisadi ni majungutuu na unafiki.Mbunge bila aibu anasema kwamba alimchonga mwenyewe Meya Amani akafanya mbinu aka mwangusha Mzee wetu wa Busara Samwel N Ruangisa!!!Sasa aliye mchonga kamzidi ujanja anaanza kutubu heti hoo huyu Meya kanikosanisha na mzee Ruangisa si ni upumbavu huu!!Kwani mzee Ruangisa tangu amekuwa Meya mbona upuuzi huu haukuwepo ni kwasababu Mzee anzo pesa zake ababaishwi Murangira!!
    · Like
  • Rwegoshora Kigoye Du! Ndg zangu nimeona comments zenu. Kwanza kabisa hongera sana CCM TAIFA kwa maamuzi yenu kwa manufaa ya wana Kagera na ya chama pia, na tena hongera sana waheshiwa Balozi Kagasheki, Gaspar, Murungi, Alexernder, Deusdedit, Robert, Samwel, Dauda na Ngaiza, kilichopo, wateteeni maslahi ya wakazi wa Bukoba, na kuweza kudumisha umoja na amani. Mungu awabari.
    via mobile · Like
  • Frank Rwiza Na wataendelea kutafunana tatzo sio chama watu ndo tatzo waondolewe la sivyo mwaka 2015 mtaona moto mkiendelea kuwang'ang'ania watu wenu hao impurity watoe
  • Jimmy Mwana Wa Mungu Hayo ni ya kwenu CHAMA CHA MAPINDUZI mtajiju. Mmezidi sana kufanyiana unafiki. Umesahau 2010 walivyokufanya? Mtajiju, mtajiju, mtajiju!
    9 hours ago via mobile · Like · 1
  • Prudence Kahatano Wana Bukoba lazima tuungane kutetea maslahi ya watoto wetu hasa katika suala la upimaji wa viwanja 5000. Siwezi amini Manispaa wanafanya maamuzi makubwa kuingia ndani ya ardhi zetu nakupima bila kuwashirikisha wananchi nikiwa na maana kuwaelimisha nikwanini wanataka ardhi ile, pili kutokana na kutokuwa karibu na wananchi hata ardhi ambazo ziko kwenye migogoro zilipimwa bila kupata ushauri kutoka kwa wahusika nathani huu siyo utawala bora kabisa. Malipo malipo hayakkulingana na mali waliyonunua kwa mfano mche wa majani ya chai walilipa shs 900 lakini bei ya mwaka 1991 ilikuwa shs 1500 ila kuna bei mpya ya mwaka 2010 malipo hayakufuata taratibu kabisa. MPANGO MZIMA. Ningekuwa Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Manispaa ya Bukoba nisingekopa hela ya upimaji viwanja 5000, ningewaelimisha wananchi na tungekubaliana kwamba Manispaa itapima viwanja vyote familia husika wangepewa hati na Manispaa wangepewa hati kila kiwanja ambacho kingeuzwa manispaa ingepata percent yake au ushuru wake na familia ingebaki na hela ya kutosha kuweza kuwekeza maeneo mengine ambayo yangewaongezea kipato, maana ya hili ni kwamba katika sera za ccm mnasema mtatuwezesha wananchi nathani kama mgefanya hivyo tayari mlikuwa mmetuwezesha kiasi cha kutosha. Kama manispaa ingefanya hivyo hawakuhitaji kukopa hela kutoka popote ila Manispaa ingetengeneza hela kutoka kwenye kodi hii ndiyo kazi ya Local Gorvenment, sasa inakuwaje Manispaa ya Bukoba mnatengeneza faida? Je Manispaa ni chombo cha kutengeneza faida? haya ni maswahili yanahitaji majibu mazuri kutoka kwa wahusika hatuwezi kumlahumu Meya peke yake hapana je wataalamu walishauri vipi katika Mpango mzima? TATU. Mimini napenda tuwe na New Bukoba siyo Bukoba hile hile ya Wajerumani na Waingereza ndiyo maana nasema mpango wa makazi mapya ulikuwa ni mpango mzuri sana ila haukusimamiwa kutoka hatua ya kwanza, Mpango huu wa viwanja 5000 sidhani kama una hata mpango wa kulinda mazingira yaani Environment Impact Assesment na hili ni suala muhimu sana kwasababu you need to sustain an enviroment from loca to global, hivyo wananchi wa Manispaa ya Bukoba walitakiwa kuhusishwa na mpango huu huwezi kuutengeneza kwa miezi miwili, sasa tunaomba tuelezwe ni lini hili lilifanyika? Manispaa ya Bukoba wanatakiwa wajue kwamba unapofanya maamuzi ya ujenzi wa nyumba 5000 ni lazima ujue ni wapi utapata mchanga, Matofali, Mawe, Mbao za kupaua, Milango , Madrisha, ila si haya tu waste management takataka za ndani, maji machafu kutoka kwenye vyoo, mabafuni na kwenye taps za ndani haya yatakwenda wapi na nini kitatokea? haya yalitakiwa kuwa yametengenezwa kwa kuungana na wananchi wetu kwasababu hawa ndiyo wadau wa Manispaa ya Bukoba je walishirikishwa?. NNE.Mpango huu ni mzuri katika macho ya siasa lakini kiutaalamu zaidi nauona ni mpango hatarishi sana kwasabu hatujui ni watu wagani wanauziwa viwanja kwasaba hatuna police check siajabu hata wabakaji , wauaji hasa waliokuwa kwenye pori la Biharamulo nao wakawa wakazi wa Manispaa ya Bukoba kupitia katika mpango huu wa viwanja 5000. Kabla ya mpango huu ardhi yetu ilikuwa unregulated land use sasa ni regulated land in the concept Town Planing lakini nina wasi wasi tunaenda kutengeneza new slum katika Manispaa ya Bukoba hii ni kwasababu hakuna planing control kuanzia kwenye ramani ya nyumba, hii na maanisha Manispaa lazima wawe wachoraji wa ramani zinazohitajika kwenye viwanja hivyo 5000 hapo watajua nyumba ziangalie wapi na sikaeje na waende mbali kujua speed ya upedo kwenye maeneo ambayo nyumba hizi zitajengwa, na hii Maanispaa itajua kupitia kwa wakadiriaji ni mchanga kiasi gani, mawe kiasi n.k vitahitajika, lakini Manispaa itaongeza kipato kwa kuuza ramani yake hata laki 600,000shs.kwa viwanja 5000 hii ni hela ya kutosha. Manispaa ya Bukoba haya lazima myafanye na mrudi kwa wananchi mfanye nao kazi lakini pale ambapo mtahitaji msaada mimi ni mwana Bukoba anayeweza kusaidia.TANO. Na mwisho njia nzuri ya kuondoa manunguniko tunaomba tulipwe fidia inayotosha kulingana bei za mwaka 2010 katika upande wa ardhi na mazao.
    9 hours ago · Like · 1
  • Jimmy Mwana Wa Mungu Manispaa ilishakaguliwa na cag huyo huyo na wakapata hati safi. Ni halmashauri ya pili kwa utumiaji pesa ya serikali vizuri ikiifuata musoma. Je kuna jipya? Je mwanzoni cag alikagua vibaya? Je ikibainika kila kitu ni safi mtafanyaje?
    9 hours ago via mobile · Like
  • Jimmy Mwana Wa Mungu Prudence manispaa hii sio ya kwanza kupima viwanja kupitia wapimaji binafsi. Hata ile ya Kibaha ilifanya hivi. Bila ya shaka ni maelekezo ya Tamisemi kwa kisingizio cha hakuna pesa ya kutosha.
    9 hours ago via mobile · Like
  • Prudence Kahatano Ukitumia wapimaji binfsi maana yake viwanja vinakuwa juu sana hivyo watu maskini tunasukumwa kukosa Ardhi na mbaya zaidi Ardhi ambayo inachukuliwa kutoka kwa wazee wetu, kwanini wapimaji binafsi kama serikali haina hela wacha kupima maeneo basi .
  • Rwegoshora Kigoye Kwani hapa tatizo kubwa ni upimaji wa viwanja au ni ujenzi wa soko? Viongozi wa manispaa ya bukoba, wakati mnagombea mlitumia ngia ya siasa, sasa mnataka hata kwenye kutawala mtumie njia ya siasa? Aaah! Acha hizo bhana!
    7 hours ago via mobile · Like
  • Prudence Kahatano Nimeeleza viwanja kwasababu hili nalijua kwa ufasaha siwezi ongelea soko na mambo mengine nisiyo yajua na katika kulieleza nimetoa ushauri jinsi ya kufanya ila ukitaka nikueleze jinsi hili swala katika nyanja ya kisiasa tusubiri Murungi atweleze
  • Habibah Mkelo hongereni sana mheshimiwa Murungi,haki itatendeka na mafisadi lazima wawekwe juani.yes!
    5 hours ago · Like · 1
  • Harryson Rwehumbiza Sisi ambao tuko mikowani wana Bukoba Madiwani nyie wanane kwakweri mnapata shinikizo la Mbunge nikikuuliza wewe Mheshimiwa unipe sababu tano za muhimu kuhusu huu mgogoro huwezi kunipa sanasana utaji kanyaga kanyaga.Kingine cha kushangaza unafiki wa Bukoba wewe ulikuwa na Mgogoro na huyo Mbunge hata Biaramuro nasikia ukuperekwa sasa imekuwaje ukarejea kwenye genge lake?au nawewe unavaa ngozi ya kondoo !!!???
    3 hours ago · Like · 1
  • Wilbroad Peter Hahahahah,nafurah sana kwa jinsi watu wanavojua mgogoro huu kwa undani.Pesa bwana!
  • Amini Idrisaeliasi NADHANI UMEPATA MAJIBU SAHIHI KUTOKA KWA WANANCHI WENYE AKILI NA WANAOPENDA AMAN NA MAENDELEO YA BUKOBA, KAMA UNA JIPYA ONGEZA WAKUJIBU..
  • Jasinta Ngalawa Aminia dada penye nia pananjia.

No comments:

Post a Comment