Friday, September 6, 2013

Inasikitisha taswira ya bunge letu, vurugu tupu

IMG_0014 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma  Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0017 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akiteta na Mwanaheria  Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0032 Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0037 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi  akifafanua jambo Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0064 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bumbumbuli na Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January Makamba, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0069 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini , Bungeni Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0073IMG_0104 IMG_0119 IMG_0124Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0131Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
IMG_0159 1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Bondia Francis Cheka  (katikati) na mkewe Tosha Azenga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment