Friday, September 6, 2013

Rais Kikwete akutana faragha na Rais Kagame Kampala

Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
9676681299_b3707d20a5_c
9676687273_13e1849eb2_b
9679917620_3f83a214d0_b
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.

No comments:

Post a Comment