Friday, September 6, 2013

Mwanamke wa Kinaigeria akutwa na kete 99 uwanja wa ndege

Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya akiwa chini ya ulinzi.
Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio zima la kunaswa kwa mtuhumiwa huyo ambapo anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi wakati kete hizo zimepelekwa kwa ofisi ya Mkemia Mkuu kwa uchunguzi zaidi.


Anthonia Ojo akiwasili kituo cha polisi cha JNIA baada ya kukamatwa
Anthonia Ojo akielekea kupanda gari kuelekea kituo cha polisi.
Anthonia Ojo akiwa chini ya ulinzi.
Hati yake ya kusafiria
Begi lilibebewa madawa
Juu na chini ni Anthonia Ojo akitoa madawa alikokua amyaficha kwenye mikebe ya poda na shampuu
Kete alizokamata nazo
Madawa yakirudishwa kwenye mikebe baada ya kuonyeshwa kwa wanahabari.
Recodi ya Anthonia Ojo aliwahi kuja tena Tanzania mwaka 2011

No comments:

Post a Comment