Sehemu ya waliokaa baadhi ya wajumbe kutoka katika nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda waliohudhuria katika kikao hicho cha kutiliana mkataba wa makubaliano ya kufufua mradi wa umeme katika maporomoko ya mto Rusumo.
Add caption |
Bw. Paul Baringanire mwakilishi wa Benki ya Dunia ambao wamekubali kutoa dola mlioni 340 kwa ajili ya kufufua mradi huo.
Bi Stella Mandago mwakilishi wa benki ya maendeleo ya Afrika ambao nao wameonesha nia ya kutoa dola milioni 130.
Waziri wa Burundi Bw. Manirakiza C'ome ambaye alikuwa akiongea kwa kifaransa na kutafsiriwa na mkalimani akieleza namna walivyojipanga katika utekelezaji wa mradi.
Waziri wa miundo mbinu wa nchini Rwanda Profesa Silas Rwakabamba akieleza mikakati ya nchi yake katika utekelezaji wa mradi.
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo akifungua mkutano huo wa kutiliana mkataba wa makubaliano ya kufufua umeme kutokana na maji ya maporomoko ya mto Rusumo.
Picha ya pamoja ya Mawaziri, Wafadhili na baadhi ya wajumbe kutoka nchi tatu.
Mawaziri kutoka nchi tatu wakiwa wameshikilia mikataba baada ya kusaini.
Waziri wa Miundombinu wa nchini Rwanda profesa Rwakabamba akisaini mkataba
Mawaziri hao wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi waliosimama nyuma yao kutoka nchi zote tatu.
No comments:
Post a Comment