Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Kagera wanaohudhuria mafunzo
ya uchokonozi yanayotolewa na mwandishi mkongwe Fili Karashani wakiwa katika
picha ya pamoja na waandishi wa habari toka mkoani Singida ambao wako mkoani hapa katika mafunzo ya siku tatu.Waandishi hao wamepata fursa ya kuzunguka maeneo mbali mbali katika Manispaa ya Bukoba na Missenyi, ikiwemo kuangalia mabaki ya kumbu kumbu ya vita vya Kagera na Uganda mwaka 1978/1979.
No comments:
Post a Comment