Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo.
Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Rais
Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara
wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani
Ngara Rais
Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na
silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya
KyerwaRais
Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na
silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya
Kyerwa.Wananchi
wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani
Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu Wananchi
wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani
Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu jana Jumamosi Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo Kivuko kipya cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo kilichozinduliwa na Rais Kikwete Rais
Kikwete akiongea na wananchi katika sherehe ya kuzindua mradi wa umeme
vijijini katika kijiji cha Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe Rais Jakaya
Kikwete yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi ya siku nane.Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya KyerwaUmati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa .(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment