Burudani
ya Ngoma ikiendelea wakati wananchi wa Mjini Biharamulo wakimsubiri .Rais Jakaya o Kikwete awasili kutokea Muleba Waziri John Magufuli naye hayuko mbali na utaalam wa kupiga ngoma.John Magufuli na wewe unaweza kupinga ngoma??
Dr. John naye akionesha kufurahia mndundo wake wa ngoma.
No comments:
Post a Comment