*Kama kawaida yetu wa Watanzania kila mgeni maalum anapowasili nchini lazima apokelewa kwa kupewa maua na watoto wanaoandaliwa jamnbo hilo linaonekana kumshang'aza mke wa Obama, katika picha akionekana kushan'gaa na kuuliza nini Tanzania, dogo naye bila kuchelewa anamjibu karibu TZ.
Rais Obama akiwa na Rais Kikwete akiwasalimia mamia ya wananchi waliofurika kumpkea Ikulu
…. Hapa ni Ikulu Rais Kikwete na Mkewe Bi. Salma na Rais Obama na mkewe Michelle wakiwapungia wananchi waliojitokeza kuwalaki muda mfupi kabla ya kuingia ndani.
No comments:
Post a Comment