Rais
Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za
utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa
Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya
kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za
utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein.
Rais
Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za
utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment