Monday, March 31, 2014

Bahati Bukuku, Flora Mbasha, Stara Thomas na Edson walivyowapagaisha Mwanza



Bahati Bukuku akiwa amebeba kikapu tayari kuanza zoezi la kuchangishia fedha radio ya Kwa Neema

Hapa palikuwa ni patashika haki iliomlazimu Bahati Bukuku kuvua vichuchuo vyake, na kutembea peku  kwani kila mmoja alibeba kapu lake ili kuonesha ni mwanamuzi gani anapendwa zaidi, yote ilikuwa ni kuchangisha fedha.





Flora Mbasha akisakata muziki wa injili.

Sehemu ya uamti wa watu waliohudhuria kwenye tamasha hilo.


Akipewa sapoti na Bahati Bukuku wakati akiimba wimbo wake wa Mwanamke simama imara.







Akiimba kwa hisia pamoja na mumewe
Hapa kila mmoja alitaka apige picha na Bahati Bukuku, tatizo lilikuwa mmoja waliyepata nafasi alitaka anzungumze naye mawili matatu

No comments:

Post a Comment