Monday, March 31, 2014

Kujisaidia vyoo vya kituo kikuu cha mabasi Bweri Musoma nyakati za mvua sharti uvue viatu





Hali halisi ya kituo cha mabasi ya BWERI Musoma.





Muangalie huyo baba alitakiwa avue viatu vyake avae ndala, iliwachukua kama dakika tano wakibishana na mhudumu, baadaye aliachiwa.



Milango vya vyoo vyenyewe ndiyo hivyo.


Sakafu ya kuchafuliwa na abiria ndiyo hii.


Hatari ndugu yangu, nilipofika katika choo cha kituo cha mabasi cha Bweri, na kulazimishwa na mama mmoja anayesimamia huduma hiyo kunilazimisha kuvua vyantu vyangu na kuvaa ndala kwa madai kuwa vya  wasafiri vimejaa matope.
   Ndala ndiyo hizi, cheki mwenyewe umalizie.

No comments:

Post a Comment